Kiosk vodiči za učenje
Hata kama wewe si mwenye akilli maalum, unaweza kutumia maarifa kama yale ya Aristotle na Einstein ili kuongoza vizuri zaidi wakati wako ujao.
|
Kwanza, lazima ujifunze kutambua mkazo:
Dalili za mkazo ni pamoja na ufunuo wa moyoni, urafiki, na kimwili. Haya ni pamoja na uchovu, kupotea au kuongezeka kwa hamu ya chakula, maumivu ya kichwa, kulia, kutopata usingizi(kuwa macho), na kulala uzingizi kupita kiasi. Mara nyingi kunyua pompe, kutumia madawa ya kulevya na mambo mengine kama hayo ni ishara za kuwa na mkazo. Maono ya kutia hofu, pingamizi, ama utepetevu labda zaweza kufuatana mkazo.
Ukiona kwamba mkazo unageuza hali
yako ya kujifunza,
ihari ya kwanza ni kutapata ushauri kutoka mshauri wa shule lako.
Maongozi ya mkazo ni kuwa na uwezo (kuwa na akili au ustadi) wa kudumisha kuzuia wakati mambo ya hali, watu, na matukio kuwa na matakwa ya kupita kiasi. Mi nini unaweza kufanya kuzuia mkazo? Ni maarifa gani unaweza kutumia?
Angalia kama kuna jambo unaweza kufanya ili kuzuia hali ya mambo. |
Jifunze bora kabisa vile
unaweza kujilegeza wewe mwenyewe Kutafakari na kuvuta pumzi vimetibithisha kuwa njia nzuri za kuzuia mkazo. Jizoeze kuondoa mawazo yanaokusumbua akilini mwako. |
Jiondoe kutoka hali ya
mkazo. Jipatie kila siku nafasi ndogo ya kupumzika kidogo. |
Jiwekee vikomo
vinavyofaa. Punguza mambo/ matukio maishani mwako. |
Usijitoe jasho kwa mambo
madogo Jaribu kuweka vitu muhimu katika haki ya kutangulia. |
Usichiajilie kushindwa kwa kunung'unikia habari za kazi yako. Fanya kila kazi vile inavyokuja na kumbuka kushughulikia mambo ya kutangulia. |
Geuza njia yako ya
kushawishiwa na jambo lilitongulia, lakini usifanye hivo sana wakati mmoja. Kaza macho yako kwa jambo sumbufu na kuliawala. |
Badilisha njia zako za
kufahamu mambo Jifunze kutambua mkazo ni nini. Ongeza itikio la mwili wako na kufanya mkazo kujitawala. |
Jiepusha na kushawishiwa
na mambo ya kutangulia ambao ni ya kupita kadiri. Chukia kidogo sio kuchukia saana. Mbona kufanyiza hofu ikiwa unweza kuwa katika hali ya enye woga? Mbona kuwa katika hali kuondoa furaha ikiwa enye huzuni itasaidia? |
Jaribu kuzaidia wengine ili kusaidia akili zako |
Pata usingizi wa kutosha kutopata pumziko uongeza mkazo |
Ondoa mkazo kwa kufanya
michezo kama kikimbia, kucheza kandanda, au kulima shambani |
Epukana na kujitibu
mwenyewe Kileo na madawa ya kulevya ufunika mkazo. Havisaidii kutatua au kuondoa matatizo. |
Sitawisha ngozi nene Kuzuia mkazo ni kujishinda wewe mwenyewe. |
Jaribu "kutumia" mkazo |
|
Jaribu na hakika |
|
Muhimu kabisa, kama mkazo unakuweka katika hali ya kjiingiza katika kazi yako ya shule, urafiki au katika kazini, tafuta usaidizi kutoka mshauri wa shule yako. |